MJADALA MADA:SANAA KATIKA MAPAMBANO YA KULETA MABADILIKO (ART IN THE STRUGGLE FOR CHANGES) AGOSTI 16/8/2019

MJADALA

Soga na wasanii. Wasanii James Gayo na Vitali Maembe waliwasilisha mada juu ya: Sanaa katika Mapambano ya Kuleta Mabadiliko (Art in the Struggle for Changes)